Ruhusu programu jalizi kwenye tovuti hizi

Inakuruhusu kuweka orodha ya ruwaza za url ambazo zinaruhusiwa kuendesha programu jalizi.

Ikiwa sera hii itasalia kama haijawekwa thamani yote chaguo-msingi itatumiwa kwa tovuti zote kutoka kwenye sera ya 'DefaultPluginsSetting' ikiwa imewekwa, au vinginevyo usanidi binafsi wa mtumiaji.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Ruhusu programu jalizi kwenye tovuti hizi

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\PluginsAllowedForUrls
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)