Anwani au URL ya seva ya proksi

Unaweza kubainisha URL ya seva mbadala hapa.

Sera hii inatumika tu ikiwa umechagua mipangilio ya seva mbadala ya kujiundia katika "Chagua jinsi ya kubainisha mipangilio ya seva mbadala'.

Unapaswa kuacha sera hii bila kuiweka ikiwa umechagua hali nyingine yoyote ya kuweka sera za seva mbadala.

Ili upate chaguo na mifano ya kina zaidi, tembelea:
https://www.chromium.org/developers/design-documents/network-settings#TOC-Command-line-options-for-proxy-sett


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Anwani au URL ya seva ya proksi

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameProxyServer
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)