Ikiwa mipangilio ya kriptografia ya RC4 katika TLS imewashwa

Onyo: RC4 itaondolewa kabisa kwenye Google Chrome baada ya toleo la 52 (kufikia Septemba 2016) na sera hii kufanya kazi wakati huo.

Sera hii isipowekwa, au ikiwekwa kuwa sivyo basi mipangilio ya kriptografia ya RC4 katika TLS haitawashwa. Vinginevyo inaweza kuwekwa kuwa ndivyo ili kudumisha muoano na seva iliyokwisha muda. Huu ni mkakati tu wa muda na seva inapaswa kuwekwa mipangilio.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameRC4Enabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)