Weka mipangilio ya jina la kikoa linalohitajika kwa ajili ya seva teja za ufikiaji wa mbali

Huweka mipangilio ya jina la kikoa cha seva teja ambalo litawekwa kwenye seva teja za ufikiaji wa mbali na huzuia watumiaji kulibadilisha.

Mipangilio hii ikiwashwa, basi ni seva teja kutoka kwenye kikoa kilichobainishwa pekee zinazoweza kuunganisha kwenye seva pangishi.

Mipangilio hii ikizimwa au isipowekwa, basi sera chaguo-msingi ya aina ya uunganishi hutumika. Kwa ajili ya usaidizi wa mbali, hii huruhusu seva teja kutoka kwenye kikoa chochote kuunganisha kwenye seva pangishi; kwa ufikiaji wa mbali wa wakati wowote, ni mmiliki wa seva panishi pekee anayeweza kuunganisha.

Angalia pia RemoteAccessHostDomain.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Weka mipangilio ya jina la kikoa linalohitajika kwa ajili ya seva teja za ufikiaji wa mbali

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameRemoteAccessHostClientDomain
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)