Kitendo kwa kuanza

Hukuruhusu kubainisha tabia wakati wa kuanzisha.

Ukichagua 'Fungua Ukurasa wa Kichupo Kipya' Ukurasa wa Kichupo Kipya utafunguliwa kila unapoanzisha Google Chrome.

Ukichagua 'Rejesha kipindi cha mwisho', URL ambazo zilikuwa zimefunguliwa mara ya mwisho Google Chrome ilipofungwa zitafunguliwa tena na kipindi cha kuvinjari kitarejeshwa kama kilivyoachwa.
Kuchagua chaguo hili kunazima baadhi ya mipangilio ambayo inategemea vipindi au ambayo inatekeleza vitendo unapoondoka (kama vile Futa data ya kuvinjari unapoondoka au vidakuzi vya kipindi pekee).

Ukichagua 'Fungua orodha ya URL', orodha ya 'URL za kufungua unapoanzisha' zitafunguliwa mtumiaji anapoanzisha Google Chrome.

Ukiwasha mipangilio hii, watumiaji hawawezi kuibadilisha au kuibatilisha katika Google Chrome.

Kuzima mipangilio hii ni sawa na kuiacha bila kuisanidi. Bado mtumiaji ataweza kuibadilisha katika Google Chrome.

Sera hii haipatikani kwenye matukio ya Windows ambayo hayajaunganishwa kwenye kikoa cha Saraka Inayotumika.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Kitendo kwa kuanza


 1. Fungua Ukurasa Mpya wa Kichupo
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameRestoreOnStartup
  Value TypeREG_DWORD
  Value5
 2. Rejesha kipindi kilichopita
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameRestoreOnStartup
  Value TypeREG_DWORD
  Value1
 3. Fungua orodha ya URL
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
  Value NameRestoreOnStartup
  Value TypeREG_DWORD
  Value4


chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)