Wezesha Kuvinjari Salama

Huwasha kipengee cha Kuvinjari Salama cha Google Chrome na kuzuia watumiaji kutoka kubadilisha mpangilio huu.
Kama utawasha mpangilio huu, Kuvinjari Salama kutatumika kila wakati.
Kama utazima mpangilio huu, Kuvinjari Salama hakutatumika kamwe.
Kama utawasha au kuzima mpangilio huu, watumiaji hawezi kubadilisha au kupuuza mpangilio wa "Washa ulinzi wa kuhadaa na programu hasidii" katika Google Chrome.
Kama sera hii haitawekwa, hii itawashwa lakini mtumiaji ataweza kuibadilisha.


Supported on: Microsoft Windows XP SP2 au ya karibuni zaidi
Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameSafeBrowsingEnabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)