Zuia arifa katika tovuti hizi

Inakuruhusu kuweka orodha ya ruwaza za url ambazo zinabainisha tovuti ambazo haziruhusiwi kuonyesha arifa.

Ikiwa sera hii itasalia kama haijawekwa thamani yote chaguo-msingi itatumika kwa tovuti zote kutoka katika sera ya 'DefaultNotificationsSetting' ikiwa imewekwa, au vinginevyo usanidi binafsi wa mtumiaji.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Zuia arifa katika tovuti hizi

Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS\NotificationsBlockedForUrls
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)