Kiwango cha kuonyesha upya kwa sera ya mtumiaji

Hubainisha kipindi kwa kipimo cha milisekunde ambapo huduma ya kudhibiti kifaa huulizwa maelezo ya sera ya mtumiaji

Kuweka sera hii hubatilisha thamani chaguo-msingi ya saa 3. Thamani sahihi za sera hii ziko kuanzia 1800000 (dakika 30) hadi 86400000 (siku 1). Thamani zozote ambazo hazipo katika masafa haya zitawekwa katika mpaka husika. Ikiwa mfumo unatumia arifa za sera, ucheleweshwaji wa kuonyesha upya utawekwa kuwa saa 24 kwa sababu unatarajiwa kwamba arifa za sera zitalazimisha kuonyesha upya kiotomatiki wakati wowote ambao sera itabadilika.

Kuacha sera hii bila kuwekwa kutafanya Google Chrome itumie thamani chaguo-msingi ya saa 3.

Kumbuka kwamba ikiwa mfumo huu unatumia arifa za sera, ucheleweshwaji wa kuonyesha upya utawekwa kuwa saa 24 (ukipuuza chaguo-msingi zote na thamani ya sera hii) kwa sababu inatarajiwa kwamba arifa za sera zitalazimisha kuonyesha upya kiotomatiki wakati wowote ambao sera itabadilika, hivyo kuondoa haja ya kuonyesha upya mara kwa mara.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Kiwango cha kuonyesha upya kwa sera ya mtumiaji:

Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
Value NamePolicyRefreshRate
Value TypeREG_DWORD
Default Value
Min Value0
Max Value2000000000

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)